Sifa Lyrics

Nakushukuru Mungu by Martha Baraka cover art

Martha Baraka - Nakushukuru Mungu Lyrics

Artist:
Martha Baraka
Album:
Nakushukuru Mungu - Single
Official Release:
31 May 2022

Lyrics

Intro


Nakushukuru Mungu wangu,kwa kunifikisha hapaa
Nakushukuru Baba yangu,kwa kunifikisha hapaa
sijawahai kama nitafika hapa nilipo
sijawahai kama nitaitwa mtumishi wako


Verse 1


Nakushukuru Mungu wangu,kwa kunifikisha hapaa
Nakushukuru Baba yangu,kwa kunifikisha hapaa
sijawahai kama nitafika hapa nilipo
sijawahai kama nitaitwa mtumishi wako
ni mengi makubwa umetenda kwangu yanayonifanya nikusifu wewe
ni mengi makubwa umetenda kwangu yanayonifanya nikupambe wewe


Chorus


Baba,Baba Baba
jina lako litukuzwe Baba
Mungu mwenye enzi
nani mwengine kama wewe Baba


Verse 2


Nilienda upu kweli kupunga upepo,nilipofika uko nakaanza kutafakari Baba jinsi Bahari ivyoheshimu mipaka yake nikajikuta nikisema Baba unashangaza wewe


Nilienda upu kweli kupunga upepo,nilipofika uko nakaanza kutafakari Baba jinsi Bahari ivyoheshimu mipaka yake nikajikuta nikisema Baba uinuliwe


Chorus


Baba,Baba Baba
jina lako litukuzwe Baba
Mungu mwenye enzi
nani mwengine kama wewe Baba


Verse 3


Kila Ndege msitu anakiota chake
lakini Kobe anatembea na nyumba yake
hiyo yote ni utukufu wa jina lako ndiyo maana ninasema unashangaza we


Kina Ndege msitu anakiota chake
lakini Kobe anatembea na nyumba yake
hiyo yote ni utukufu wa jina lako ndiyo maana ninasema Baba uinuliwe JUu sana JUu sana


Chorus


Baba,Baba Baba
jina lako litukuzwe Baba
Mungu mwenye enzi
nani mwengine kama wewe Baba


Credits & Song Information

Performed By
Martha Baraka
Community reviewed · Apple Music
Release Date
2022-05-31
Community reviewed · Apple Music

Add song information · Add a supporting source

Video

Meaning & Inspiration

Nakushukuru Mungu is a song of gratitude and praise. Martha Baraka reflects on how far God has brought her, then points to the natural world as a reason for wonder and worship. The recurring refrain keeps the focus on honoring God's name and unmatched authority.