Sikupi mipaka tena mmh Chukua nafasi Bwana uuh Miliki kila chuma ndani yangu Sikupi mipaka tena mmh Panga na pangua yameota sura yako Acha nifurike wewe tu Panga na pangua yape yote sura yako Siwezi bila wewe
I surrender, i surrender Sikupi mipaka tena I surrender mmmh uuuuh mmmh
Umenijua toka kale Kabla ya kuwa kwangu Nitawezaje bila wewe uuh Hatua zangu bila wewe Ni bure na nitaishia uhalifuni Ninakuhitaji eeeh
I surrender, i surrender (i give it all to you) Sikupi mipaka tena I surrender, i surrender Sikupi mipaka tena I surrender, i surrender sikupi mipaka I surrender