Angel Benard - Nimebadilishwa Jina Lyrics

Album: Nikumbushe Wema Wako
Released: 01 Jan 2023
iTunes Amazon Music

Lyrics

Nimebadilisha jina Nina nafasi mpya Si mtumwa tena Unyonge kwangu hakuna Natazama ya juu Nilinayo ni ya muda aah Nimebadilishwa jina aah Nina nafasi mpya aah Si mtumwa tena naaah Unyonge kwangu hakuna Natazama ya juu Nilinayo ni ya muda mmmhh eeeeh

Mimiii, hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa mwana Nimebadilishwa jina aah Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa heshima Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa mwana Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa heshima

Nimefanywa utisho Kwa magonjwa na mapepo Mimi udhibitisho oooh Ya kwamba Yesu yupo ooh Mikono yangu, imetiwa nguyu Nipate utajiri nisione hasara Ndani yangu uuuh Nafurika mema Wengi wa rehema, nguvu na uponyaji

Ooh mimi Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa mwana Nimebadilishwa jina aah Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa heshima Nimefanywa chombo kipyaaah Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa mwana Nimebadilishwa jina Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa heshima

Nimewekwa juu Oooh nimewekwa juuu Pamoja naye eeh Pamoja naye eeh Pamoja naye eeh Nimeketishwa naye eeh Juu ya magonjwa tuba shibah Juu ya uzu ni na mashaka Juu ya hofu zote eeh Nime wekwa juuuuuu

Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa mwana Nimebadilishwa jina aah Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa heshima Umeficha uzuri wako ndani yangu Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa mwana Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa heshima

Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa mwana Mwana wa pendo lako oooh Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa heshima Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa mwana Hekalu la bwana Mti wa mwema Nimefanywa heshima

Video

Angel Benard - Nimebadilishwa Jina (Official Audio)

Thumbnail for Nimebadilishwa Jina video
Loading...
In Queue
View Lyrics