Sifa Lyrics

Nimechoka by Guardian Angel cover art

Guardian Angel - Nimechoka Lyrics

Artist:
Guardian Angel

Lyrics

Eee baba nipe nguvu, sababu nimechoka
Nipe nguvu, sababu nimechoka
Sababu nimechoka, nimechoka
Sababu nimechoka, nimechoka


Nafungua roho yangu
Shida za maisha zimenilemea mimi
Ju siwezi peke yangu
Nakuhitaji wee, nakuhitaji we


Kama ungewapa binadamu kazi
Ya kuwastaki walokusaliti
Labda mimi ningekuwa nimeshikwa zamani
Ningekuwa Kamiti


Vita vyangu baba unipiganie
Mimi sina namna mimi sina njia
Ona moyo wangu unavyokulilia
Heee hee, hee hee


Vita vyangu baba unipiganie
Mimi sina namna mimi sina njia
Ona moyo wangu unavyokulilia
Heee hee, hee hee


baba nipe nguvu, sababu nimechoka
Nipe nguvu, sababu nimechoka
Sababu nimechoka, nimechoka
Sababu nimechoka, nimechoka


Eeh nipe nguvu nimechoka
Nimechoka kupita kwa barabara
Wakiniona wanacheka
Mi najua nimekosa
Lakini kama Nebuchadnezzar
Nipe hio nafasi tena


Hey nipe nguvu nimechoka
Nimechoka kupita kwa barabara
Wakiniona wanacheka
Mi najua nimekosa
Lakini kama Nebuchadnezzar
Nipe hio nafasi tena


Ni wewe nakuita maisha yangu yamenilemea
Ni wewe nakuita, aah
Ni wewe nakuita maisha yangu yamenilemea
Ni wewe nakuita, aah


Eee baba nipe nguvu, sababu nimechoka
Nipe nguvu, sababu nimechoka
Sababu nimechoka, nimechoka
Sababu nimechoka, nimechoka


Video