Sifa Lyrics

JIPE MOYO  by Guardian Angel cover art

Guardian Angel - JIPE MOYO Lyrics

Artist:
Guardian Angel

Lyrics

Hapo ndipo tulipo uweponi

Tumepitia hayo hayo mapito

Hapo ndipo tulipo uweponi

Tumeyaona hayo hayo matezo

Hamna kitu kipya duniani

Yote tunayoona yamekuwepo

Hamna kitu kipya duniani

Yote unayopitia yamekuwepo

Jipe moyo moyo aliyewakumbuka atakukumbukaa

Jipe moyo moyo aliyefanya kwao atafanya kwako

Hiyo hali ni ya muda ni ya muda

Ee mwanangu jipe moyo jipe moyo

Hiyo hali ni ya muda ni ya muda

Ee mwanangu jipe moyo jipe moyo

Kama ni kulala njaa sisi tulilala njaa

Kama ni kutukanwa tulitukanwa sana

Kama kudharauliwa sisi tulidharauliwa 

Na kama ni kufungiwa tulifungiwa nyumba

Hamna kitu kipya duniani

Aliyetukumbuka atakukumbuka 

Hamna kitu kipya duniani

Aliyefanya kwetu atafanya kwako

Video