Sifa Lyrics

Mwaka Huu by Moji Short Baba cover art

Moji Short Baba - Mwaka Huu Lyrics

Artist:
Moji Short Baba

Lyrics

Mwaka huu


Ni favor tu


Baraka tu


Neema tu


Mwaka huu


Ni favor tu


Baraka tu


Neema tu


Favor on me


Blessings on me


This is my year


Ehh mwaka huu


Favor on me


Blessings on me


This is my year


Ehh mwaka huu


All is see is blessings


All i see is favor


All over me all over me


All i see goodness


All i see is mercy


They follow me they follow me


Nitakua sawa kila kona


Mkono wake nitaona


Nitakua sawa kila kona


Ataniponya nitapona


Nitakua sawa kila kona


Mkono wake nitaona


Nitakua sawa kila kona


Ataniponya nitapona


Huu mwaka mtaniona


Huu mwaka mtaniskia


This is my year ah this is my year


Huu mwaka mtaniona


Huu mwaka mtaniskia


This is my year this is year year year eh


Mwaka huu


Ni favor tu


Baraka tu


Neema tu


Mwaka huu


Ni favor tu


Baraka tu


Neema tu


Favor on me


Blessings on me


This is my year


Ehh mwaka huu


Favor on me


Blessings on me


This is my year


Ehh mwaka huu


Hakika wema na fadhili ah


Zinanifuata mimi


Upande upande juu chini ah


Hakika wema na fadhili


Zinanifuata mimi


Upande upande juu chini


Adui hataniweza


Weza weza weza


Hapa hakuna kucheza


Cheza cheza cheza


Baba atandaa meza


Meza meza meza


Kunishika nikiteleza


Teleza eza eza eza


Huu mwaka mtaniona


Huu mwaka mtaniskia


This is my year ah this is my year


Huu mwaka mtaniona


Huu mwaka mtaniskia


This is my year this is year year year eh


Mwaka huu


Ni favor tu


Baraka tu


Neema tu


Mwaka huu


Ni favor tu


Baraka tu


Neema tu


Favor on me


Blessings on me


This is my year


Ehh mwaka huu


Favor on me


Blessings on me


This is my year


Ehh mwaka huu


Huu mwaka mtaniona


Huu mwaka mtaniskia


This is my year this is my year.


Video