Angel Magoti + Zoravo - Yesu Amefanya Lyrics

Yesu Amefanya Lyrics

Deni la dhambi zangu
Yeye alilipa
Kachukua aibu yangu
Yeye kajitwika
Sasa niko Huru na ninamwimbia
Uhai,pumzi,nguvu afya kanizawadia
Uhai,pumzi,nguvu afya kanizawadia

Ee nani amefanya (Yesu)
Nani ametenda (Yesu)
Hoo deni amelipa (Yesu)
Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani amefanya (Yesu)
Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani ametenda (Yesu)

Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani amefanya (Yesu)
Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani ametenda (Yesu)
Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani amefanya (Yesu)

Deni la dhambi zangu
Yeye amelipa
Kati ya mashtaka yangu imeshafutwa
Kwa kupigwa kwake Yesu sisi tumepona
Kwa kuchubuliwa kwake sisi tumepona

Nani amefanya (Yesu)
Nani ametenda (Yesu)
Nani amefanya (Yesu)
Nani ametenda (Yesu)
Nani amefanya (Yesu)
Nani ametenda (Yesu)

Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani amefanya (Yesu)
Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani ametenda (Yesu)
Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani amefanya (Yesu)

Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani amefanya (Yesu)
Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani ametenda (Yesu)
Pale msalabani (pale msalabani) 
Nani amefanya (Yesu)

Nani amefanya (Yesu)
Nani ametenda (Yesu)
Nani amefanya (Yesu)
Nani ametenda (Yesu)
Nani amefanya (Yesu)
Nani ametenda (Yesu)


Yesu Amefanya Video

Angel Magoti Songs

Related Songs