PaPi Clever & Dorcas - Ameniweka Huru Kweli Lyrics

Ameniweka Huru Kweli Lyrics

Ameniweka huru kweli, naimba sasa: Haleluya! 
(He really set me free, I sing now: Hallelujah!)
Kwa msalaba nimepata kutoka katika utumwa. 
(By the cross I got out of slavery)

Nimeokoka, nafurahi! Na dhambi zangu zimetoka. 
(I am saved, I am happy! And my sins are gone)
Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote. 
(I want to serve my Savior forever)

Zamani nilifungwa sana kwa minyororo ya shetani, 
(Once upon a time I was bound by the devil's chains)
nikamwendea Bwana Yesu, akaniweka huru kweli. 
(I went to the Lord Jesus, he truly set me free)

Neema kubwa nilipata kuacha njia ya mauti, 
(Great grace I found to leave the path of death
na nguvu ya wokovu huo yanichukua siku zote. 
(and the power of that salvation takes me all the time

Na siku moja nitafika mbinguni kwake Mungu wangu. 
(And one day I will reach heaven to my God)
Milele nitamhimidi na kumwimbia kwa shukrani. 
(I will always praise him and sing for joy)


AMENIWEKA HURU KWELI(SkizaCode 6930218)- PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 146

Ameniweka Huru Kweli Lyrics -  PaPi Clever & Dorcas

PaPi Clever & Dorcas Songs

Related Songs