Lyrics
Verse 1
Nilipofika Golgotha
Nikaiona huko
Neema kubwa kama mto
Neema ya ajabu
Chorus (x3)
Neema ya Golgotha
Ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele
Neema ya kutosha
Neema ya Golgotha
Ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele
Neema ya kutosha
Verse 2
Nilipofika moyo wangu
Ulilemewa sana
Sikufaamu bado vema
Neema yake kubwa
Verse 3
Nilipoona kwamba Yesu
Alichukua dhambi
Neema ikadhihirika
Na moyo ukapona
Verse 4
Mbinguni nitakapofika
Furaha itakuwa
Kuimba juu ya neema
Milele na milele
Outro
Neema ya Golgotha
Ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele
Neema ya kutosha
Neema ya Golgotha
Ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele
Neema ya kutosha
Neema ya Golgotha
Ni kama bahari kubwa
Neema tele na ya milele
Neema ya kutosha
Neema tele na ya milele
Neema ya kutosha
Neema tele na ya milele
Neema ya kutosha
Credits & Song Information
Video
Meaning & Inspiration
A Swahili worship song centered on grace at Golgotha. The recording moves through short verses and a recurring refrain, giving its message of salvation and gratitude a reflective, congregational shape.