Israel Mbonyi - Malengo Ya Mungu (God's Plan) Lyrics

Contents: Song Information
  • Song Title: Malengo Ya Mungu (Live)
  • Album: Malengo Ya Mungu (Live) - Single
  • Artist: Israel Mbonyi
  • Released On: 15 Dec 2023
  • Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Israel Mbonyi Malengo Ya Mungu (God's Plan)

Malengo Ya Mungu (God's Plan) Lyrics

Atakaye kuwa na wema
(One who possesses kindness)
Ahitajie kuheshimiwa
(Should seek to be respected)
Basi aende ayatafute kwa
(Let them go and pursue it)
kutenda mema bila kusita
(By doing good without hesitation)
Asiyajali macho ya watu
(Pay no mind to people's gaze)
Maana yao sio muhimu
(For their opinions are not crucial)
Bali ajali jina nimuitalo
(But cherish the name you are called)
Kwani mi ni Mungu aliyemuumba
(For I am the God who created you)

Ninayajua yangu malengo
(I know my plans)
Ni mema sio mabaya
(They are good, not evil)
Ili niwape matumaini ya siku zijazo
(To give hope for the days to come)
Nawapenda
(I love you)

Wambieni wenye huzuni
(Tell those in sorrow)
Tulizeni wenye majelaha
(Comfort those with wounds)
Wambieni waje waone
(Tell them to come and see)
Tuna Mungu mwingi wa upendo
(We have a God full of love)

Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa
(He found us struggling in sin and lifted us)
Katuosha na kutusafisha
(He cleansed and purified us)
Akatuahidi uzima wa milele
(Promising us eternal life)

Simameni kwenye mnara,
(Stand on the tower,)
usubiri ntakacho kisema
(wait for what I will say)
Zizuieni sauti za muovu
(Block out the voice of the wicked)
Na upende kuwa mwenye haki
(And choose to be righteous)

Nenda omba tena uombe
(Go, pray again and ask)
Tofautisha kuomba kwako,
(Distinguish in your prayer)
Maana hapo nitakuokoa
(For there I will save you)
Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako
(I will give a mighty army for your sake)


Malengo Ya Mungu (God's Plan) Video

Malengo Ya Mungu (God's Plan) Lyrics -  Israel Mbonyi

Israel Mbonyi Songs

Related Songs