Sifa Lyrics

Nimekuja Kusema by Dr. Sarah K cover art

Dr. Sarah K - Nimekuja Kusema Lyrics

Artist:
Dr. Sarah K
Album:
Nimekuja Kusema (feat. Shachah Team)
Official Release:
28 Jul 2023

Lyrics

Nimekuja kusema asante
Nimekuja kusema ahsante
Ahsante kwa wema wako, na fadhili zako Baba
Mimi nimekuja kusema ahsante


Nimekuja kusema asante
Nimekuja kusema ahsante
Ahsante kwa wema wako, na fadhili zako Baba
Mimi nimekuja kusema ahsante


Chorus:
Asante asante!
Nimekuja kusema asante
Asante asante!
Nimekuja kusema asante


Nimekuja kusema ahsante
Shukrani zangu, nazileta kwako
Shukrani zangu, Baba zipokee
Moyo wangu washukuru, nafsi yangu yakuhimidi Baba
Kwa fadhili zako, na wema wako


Asante asante!
Nimekuja kusema asante
Asante asante!
Nimekuja kusema asante


Umetutoa mbali, umetupeleka mbali
Tumeona mkono wako, ukiwa pamoja nasi


Asante asante!
Nimekuja kusema asante
Asante asante!
Nimekuja kusema asante


Video