Sifa Lyrics

Nina sababu ya ku-kuabudu by Dr. Sarah K cover art

Dr. Sarah K - Nina sababu ya ku-kuabudu Lyrics

Artist:
Dr. Sarah K

Lyrics

Ninasababu ya kukuabudu
Ninasababu ya kukusifu
Ukuu wako na uwaminifu wako
Nisababu ya kuku-uabudu x2


Halleluya ninasababu ya kukuabudu
Halleluyah ninasababu ya kukuusifu
Ukuu wako na uwaminifu wakoo
Nisababu ya kukuuabudu x2


Uliniiumba ilinikuabudu
Uliniumba nikukusifu
Kwamfano wako uliniiumba
Ninasababu ya kukuabudu x2


Halleluya ninasababu ya kukuabudu
Halleluyah ninasababu ya kukuusifu
Ukuu wako na uwaminifu wakoo
Nisababu ya kukuuabudu x4


Ni sababu ya Kukuabudu


Video