Sifa Lyrics

Hakuna Silaha by Dr. Sarah K cover art

Dr. Sarah K - Hakuna Silaha Lyrics

Artist:
Dr. Sarah K
Album:
Halleluyah
Official Release:
08 May 2020

Lyrics

Hakuna Silaha Yeyote
Iliyotumwa Kinyume Chetu
Itakayofaulu x2


Silaha Yoyote Itakayotumwa
Kwa Njia Moja Au Nyingine
Itawanyishwa Kwa Njia Saba
Haitafaulu x2


Hakuna Silaha Yeyote
Iliyotumwa Kinyume Chetu
Itakayofaulu x2


Yalionenwa
Na Walio Hai Na Walio Kufa
Chini Ya Maji Na Nchi Kavu
Haitafaulu x2


Hakuna Silaha Yeyote
Iliyotumwa Kinyume Chetu
Itakayofaulu x2


Hakuna,hakuna, hakuna
Itakayofaulu
Neno La Mungu Linasema Hakuna,
Uchawi, Mapepo, Unganga, Ushirikina
Itakayofaulu
Usiogope, Simama Na Neno La Mungu


@Sarah K - Hakuna Silaha


Video