Sarah K - Usiyeshindwa - mataifa yote yanakufahamu Lyrics

Lyrics

Mataifa yote, yanakufahamu Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

Chorus: Usiyeshindwa, usiyeshindwa Wewe ni Mungu usiyeshindwa

Makabila yote, yanakufahamu Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

Na kanisa lako, linakufahamu Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

All nations know you as the God who never fails.

Video

Dr. Sarah K - Usiyeshindwa (Official Video) SKIZA "71123767"

Thumbnail for Usiyeshindwa - mataifa yote yanakufahamu video
Loading...
In Queue
View Lyrics