Twende wote...eeeh eeh,,Alleluyaah...
Bwana nimerudi tena
Yesu nakushukuru
wengine sijui
Ila Mimi Bwana
Nimejua umenitendea
Bwana nimerudi tena
Yesu nakushukuru
wengine sijui
Ila Mimi Bwana
Nimejua umenitendea
Haleluya Twende wote
(Instrumental & Dance)
Nimeomba mengi umenijibu moja
Umetutendea wengi Mimi nimerudi
Japo mengine bado
Ila natambua dhamani ya hili moja ulilonitendea
Wale wengine tena mimi sijui
Ila nachojua kwangu umetenda
Mengine sijui ila hili Bwana
Nimejua umenitendea
Mimi ni msamaria tu mtu wa makabila mengine
Wala sikustahili haya uliyonitendea
Wengine sijui wanaona nini
Ila mimi Bwana
Ninauona wema wa ajabu
Wenye ukoma tulikuwako
Na neno lako halikufanya makosa
Wengine sijui wanaona nini
Ila mimi Bwana
Nimejua umenitendea
Wenye dhambi tulikuwako
Na damu yako ikanitakasa
Wengine sijui wanaona nini
Ila mimi Bwana
Nimejua umenitendea
Utukufu kwako
Na heshima kwako
Umenitenda wema