Sifa Lyrics

Sisi Ni Wale by Phina cover art

Phina - Sisi Ni Wale Lyrics

Artist:
Phina

Lyrics

Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu


Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba


Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu


Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba


Sina hela, sina pesa, sina doh


Sina nyumba sina gari, sina ooh


Kila kukikucha mi naiwaza kesho


Napiga moyo konde nitafika ooh


Wanaokudharau leo


Watakusalimia kesho, kwa heshima


Wanaokusema sema, watakusifia kesho


Unaokula nao na kucheka nao


Kesho ukidondoka utokuwa nao


Piga moyo konde


Wakati wa Mungu wakati sahihi


Piga moyo konde


Wakati wa Baba wakati sahihi


(Sisi ni wale)


Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu


Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba


Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu


Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba


Jana niliumwa, nikadhani nitakufa


Leo niko fiti, ukinicheki nadundika


Nilipoachishwa kazi walidhani nitasota


Leo nipo juu ile kibosi nadundika


Kama unaamini umesaidiwa na Mungu


Piga kelele


Kelele moja


(Eeh) Kelele mbili (Eeh eeh)


Kama unaamini umesaidiwa na Mungu


Piga kelele


Kelele moja


(Eeh) Kelele mbili (Eeh eeh)


Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu


Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba


Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu


Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba


Video