PaPi Clever & Dorcas - Sawa Na Kisima Safi Lyrics

Sawa Na Kisima Safi Lyrics

Sawa na kisima safi
Chenye maji mengi, mema
Ni upendo wa mwokozi
Ukaao ndani yake

Yesu amelifungua
Lango zuri la mbinguni
Ili niingie humo
Kwa neema yake kuu
Yesu amelifungua
Lango zuri la mbinguni
Ili niingie humo
Kwa neema yake kuu

Kama ndege awindavyo
Mara nyingi niliumwa
Moyo wangu ulilia
Yesu hakunifukuza

Yesu amelifungua
Lango zuri la mbinguni
Ili niingie humo
Kwa neema yake kuu
Yesu amelifungua
Lango zuri la mbinguni
Ili niingie humo
Kwa neema yake kuu

Ni ajabu kubwa kweli
Alinisamehe yote
Juu ya rehema yake ninaimba kwa furaha

Yesu amelifungua
Lango zuri la mbinguni
Ili niingie humo
Kwa neema yake kuu
Yesu amelifungua
Lango zuri la mbinguni
Ili niingie humo
Kwa neema yake kuu

Asubuhi ya uzima
Nitafika mlangoni
Kwa ajili ya upendo  nitapata kuingia
Asubuhi ya uzima
Nitafika mlangoni
Kwa ajili ya upendo  nitapata kuingia

Yesu amelifungua
Lango zuri la mbinguni
Ili niingie humo
Kwa neema yake kuu
Yesu amelifungua
Lango zuri la mbinguni
Ili niingie humo
Kwa neema yake kuu
Yesu amelifungua
Lango zuri la mbinguni
Ili niingie humo
Kwa neema yake kuu
Yesu amelifungua
Lango zuri la mbinguni
Ili niingie humo
Kwa neema yake kuu


Sawa Na Kisima Safi Video

PaPi Clever & Dorcas Songs

Related Songs