Sifa Lyrics

Roho Yangu Inaimba by PaPi Clever & Dorcas cover art

PaPi Clever & Dorcas - Roho Yangu Inaimba Lyrics

Artist:
PaPi Clever & Dorcas
Album:
Mwokozi wetu (Nyimbo za wokovu) ALBUM 1
Official Release:
12 Mar 2023

Lyrics

Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa
Jua lake la neema linang’aa kila siku


Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha


Pepo za neema yake zinavuma ndani yangu
Na mawimbi ya wokovu yananijaliza sasa


Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha


Sasa Bwana Yesu Kristo amefanya kao kwangu
Nimepewa mfariji, Roho ya ahadi yake


Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha


«Siku roho afikapo mtajua kwa hakika
kwamba ninakaa kwenu», hivyo Yesu alisema


Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha


Kweli, amefika kwetu, sasa yumo ndani yetu
Ujitoe kwake Mungu, aioshe roho yako


Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha


Yesu atakapokuja katita utakatifu
Nitafananishwa naye, nitamshukuru sana
Zitakuwa nyimbo nyingi tuta’poingia mbingu
Na milele tutaimba na kusifu Mungu wetu
Na milele tutaimba na kusifu Mungu wetu
Na milele tutaimba na kusifu Mungu wetu


Video