Sifa Lyrics

Sio Uongo by Guardian Angel cover art

Guardian Angel - Sio Uongo Lyrics

Artist:
Guardian Angel

Lyrics

Sio uwongo! Ulikonitoa ni mbali
Yesu yoyoyo
Sio uwongo!Kama kukosa nilikosa  
Yesu ukanipa


Sio uwongo! Ulikonitoa ni mbali
Yesu yoyoyo
Sio uwongo! Ndani yako nina nguvu 
Kusema asante


Hizi mashida ziliponiandama
Yesu ulizitoa mmh
Aibu yangu Mungu ukaivuta aah
Taabu ukaiondoa


Sasa nani astahili
Ila Yesu aliye hai
Alinipenda akaniponya
Na akanipa uhai


Sasa nani astahili
Ila Yesu aliye hai
Alinipenda akaniponya
Na akanipa uhai


Sio uwongo! Ulikonitoa ni mbali
Sio uwongo! Mungu wangu unanifaa
Sio uwongo! Ulikonitoa ni mbali
Sio uwongo! Mungu wangu unanifaa


Sio uwongo! Ulikonitoa ni mbali
Yesu yoyoyo
Sio uwongo!Kama kukosa nilikosa  
Yesu ukanipa


Sio uwongo! Ulikonitoa ni mbali
Yesu yoyoyo
Sio uwongo! Ndani yako nina nguvu 
Kusema asante


Safari ya mbali huwezi kwenda hata na gari
Angalia nyuma huoni mwisho kama kwa bahari
Mungu wangu asante kwa kunipa maisha fiti ya kifahari
You all know salvation tamu kama sukari


Yo East African finest, Jimwa na Gwanso
Global loves me I say glory to Jesus
-- mi nina sifa moyoni
Give thanks siskizi hayo yote maoni


Sio uwongo! Ulikonitoa ni mbali
Yesu yoyoyo
Sio uwongo!Kama kukosa nilikosa  
Yesu ukanipa


Sio uwongo! Ulikonitoa ni mbali
Yesu yoyoyo
Sio uwongo! Ndani yako nina nguvu 
Kusema asante


Yes me I give out and me no give up(Kaboom)
Father you alone we are lean on
And so we nuh leave out
And me nuh give up,  Jesus


Team man, internationally we are lean on
To the youth salvation, innovate by day
Set the troubles to the Father 
Cause si case


Team man, internationally we are lean on
To the youth salvation, innovate by day
Set the troubles to the Father 
Cause si case


Ndani yakonina nguvu, kusema asante
Ndani yakonina nguvu, kusema asante
Ndani yakonina nguvu, kusema asante
Ndani yakonina nguvu, kusema asante


Ni Mbali, ulikonitoa ni mbali
Ni Mbali, ulikonitoa ni mbali
Ni Mbali, ulikonitoa ni mbali
Ni Mbali, ulikonitoa ni mbali


Video