Wakati Wa Kubarikiwa

Wakati Wa Kubarikiwa Lyrics

Ndege waanza nawewe nani aliyewapa amani 
Walioamka mapema kuimba nyimbo mpya siku mpya 
Huku na wewe waamka kuanza kulalamika 
Kwa majirani mara nile nini 
Kesho ntalala wapi nyumba ikifungwa  .

Jifunze kumuamini kuishi kwa njia zake 
Ju wewe ni mali yake 
Sehemu ya mwenye haki ni baraka kumiliki 
Na huu mwaka haitingiki kwako waambie  .

Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa 
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa
Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa 
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa .

Kilichozuia baraka maishani mwaka mwaka iliyopita 
Bwana Yesu ameondoa hakipo tena 
Umezunguka milima kwa muda murefu huendi popote 
Bwana Yesu amefungua milango yako asante sana 
Endelea kumuamini kuishi kwa njia zake 
Ju wewe ni mali yake atakufariji 
Utii amri zake kulingana na neno lake 
Na huu mwaka hautingiki kwa itatibika neno lake  .

Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa 
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa
Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa 
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa  .

Penya mwenyangu penya - penya 
Kazini na kwako nyumbani - penya 
Maisha ni kwako ? - penya 
Umebarikiwa Mshukuru aliyekubariki 
Hewa safi hekima maarifa - penya 
Familia nzuri - penya  .

Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa 
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa
Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa 
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa  .


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Wakati Wa Kubarikiwa:

0 Comments/Reviews