Martha Mwangi - Umekuwa Nami Lyrics
Lyrics
Baba nashukuru kwa yale yote umenitendea
Baba nashukuru kwa yale yote utatenda
Umekuwa nami (Baba) Umekuwa nami (Baba)
Nashukuru (Baba) Nashukuru (Baba)
Kuna mengi nimeyaona nikadhani nimefika mwisho
Mengi nimesikia yangenifanya nife moyo
Lakini Baba ukatembea nami Hujaniacha
Umekuwa nami (Baba) Umekuwa nami (Baba)
Nashukuru (Baba) Nashukuru (Baba)
Umekuwa nami Baba
Machozi niliyolia Baba umeyapanguza
Yote nilipoteza Baba umerejesha
Imani yangu kwako Baba imerejeshwa
Furaha iliyopotea nimeipata kwako
Roho mtakatifu umenitia nguvu
Roho mtakatifu umenitia nguvu
Umekuwa nami (Baba) Umekuwa nami (Baba)
Nashukuru (Baba) Nashukuru (Baba)
Umekuwa nami Baba
Umekuwa nami (Baba) Umekuwa nami (Baba)
Nashukuru (Baba) Nashukuru (Baba)
Umekuwa nami Baba
Video
Martha Rena -Umekuwa Nami (video lyrics) main video now available on this channel