Wewe ni Nuru

Wewe ni Nuru Lyrics

Wewe ni nuru katika mapito yangu 
Wanimulikia njia naona mbali 
Wewe ni nuru katika mapito yangu 
Wanimulikia njia naona mbali 
Wewe ni nuru katika mapito yangu 
Wanimulikia njia naona mbali  .

Neno lako ndio taa ya miguu yangu 
Na kila nitembaopa naona nuru tu
Ninaposoma ninapata kuangaziwa 
Njia yangu unaiona wanimulikia  .

Neno lako ndio taa ya miguu yangu 
kila nitembaopa naona nuru 
Nisiyoyajua nisiyoyaona 
Wewe ni mwaminifu 
Nitatembea na wewe  .

Chorus x3
Wewe ni nuru katika mapito yangu 
Wanimulikia njia naona mbali  .

Ninapotembea nakutegemea 
Nishike mkono wangu 
Tembea nami Baba 
Siwezi mimi bila wewe Bwana 
Nitatembea nawe kila wakati  .

Ninapotembea nakutegemea 
Nishike mkono wangu 
Unionyeshe njia 
Siwezi pekee yangu 
Ninatembea nawe ninao ujasiri 
Nitafika kule  .

Wewe ni nuru katika mapito yangu 
Wanimulikia njia naona mbali 
Wewe ni nuru katika mapito yangu 
Wanimulikia njia naona mbali 
Wewe ni nuru katika mapito yangu 
Wanimulikia njia naona mbali 


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Wewe Ni Nuru:

0 Comments/Reviews