Mercy Wairegi

Nakutazamia - We Ndiwe kimbilio Langu Lyrics

We ndiwe kimbilio langu
Wakati wowote nakukimbilia
We ndiwe msaada wangu
Usiku na mchana nakutazimia aah 

Nitaeleza sifa zako eh Baba
Kwa mataifa wote wajue
Ukuu wako unazidi kuzimu
Uaminifu wako wanishangaaza
Napokuita we wanisikia
Napokuomba wanijibu 
Wakati wote we wapatikana
Zaidi swahibu Upokaribu

We ndiwe kimbilio langu
Wakati wowote nakukimbilia
We ndiwe msaada wangu
Usiku na mchana nakutazimia 

Nainua macho yangu
Natazaama milimani
Msaada wangu watoka wapi?
Msaada wangu watoka kwako
x2 

We ndiwe kimbilio langu
Wakati wowote nakukimbilia
We ndiwe msaada wangu
Usiku na mchana nakutazimia

We ndiwe, wewe wewe, we ndiwe
nakukimbiliaaa
we ndiwe, we ndiwe, we ndiwe
nakutazamiaa
we ndiwe, we ndiwe
we ndiwe, we ndiwe
we ndiwe, we ndiwe(we ndiwe)
Kimbilio langu, we ndiwe
nakukimbiliaaa
we ndiwe(weeee) oooh
usiku na mchana
nakutazamia(nakutazamia wee-he)
we ndiwe kimbilio langu
Wakati wowote nakukimbilia
we ndiwe msaada wangu
Usiku na mchana nakutazimia
we ndiwe, Wewe eh eh eh
Ooh ho kimbilio langu
msaada wangu wooh


Nakutazamia - We Ndiwe kimbilio Langu Video