Sifa Lyrics

AHADI by Neema Gospel Choir cover art

Neema Gospel Choir - AHADI Lyrics

Artist:
Neema Gospel Choir

Lyrics

Nilisubiria ahadi, Ahadi ya Mungu,


Ya kunijibu Mimi..m. aombi yangu..


Nikasubiria muda, Muda wa Mungu,


Yeye hachelewi wala hawahi.


Subiri, ahadi ya Mungu atakujibu tu maombi yako..


Subiri wakati wa Mungu, yeye hachelewi wala hawahi.


Ujipe moyo,.m oyo mkuu.


Uu jipe moyo sio mwisho wako,


Subiri subira yavuta kheri,


Subiri Mungu wako yupo.


Moyo, moyo mkuu


Ujipe moyo, sio mwisho wako.


Subiri, subira yavuta kheri,


Subiri, Mungu wako yupo.


Mawazo ya Mungu si kama ya mwanadamu


Tunapoishia sisi (Yeye huanzia)


Ni Mungu mfariji, Ni Mungu mwaminifu


Jipe moyo we Baba (Mama)


Ujipe moyo, . moyo mkuu.


U ujipe moyo sio mwisho wako,


Subiri subira yavuta kheri,


Subiri Mungu wako yupo.


Moyo, moyo mkuu


Ujipe moyo, sio mwisho wako.


Subiri, subira yavuta kheri,


Subiri, Mungu wako yupo.


Video