Neema Gospel Choir + Paul Clement - Jina Yesu Lyrics

Jina Yesu Lyrics

Yako majina mengi
(Many names exist)
Yenye sifa nyingi 
(Praiseworthy names)

Ila jina la Yesu limepita majina yote
(But the name of Jesus is above all names)

Jina hili la kuaminiwa
(The trustworthy name) 
Jina hili la kutegemewa
(The dependable name)
Jina hili ni ngao na nguzo ya mataifa
(This name is the shield and pillar of the nations)

Jina hili la kuheshimiwa
(The glorious name)
Jina hili la kuinuliwa
( The exalted name)
Jina hili ni ngao na nguzo ya mataifa
(This name is the shield and pillar of the nations)

Ukiliita
(If you call upon)
Ukiliita, ukiliita lina msaada
(Will succour, when you call upon) 

Ukilitaja
(If you profess)
Ukilitaja, ukilitaja lina msaada
(Will succour, when you profess) 

Ukiliamini
(If you believe it)
Ukiliamini, ukiliamini lina msaada
(Will succour , if you believe it)


Jina Yesu Video

Jina Yesu  Lyrics -  Neema Gospel Choir

Neema Gospel Choir Songs

Related Songs