Sifa Lyrics

ENYI WATUMISHI by Neema Gospel Choir cover art

Neema Gospel Choir - ENYI WATUMISHI Lyrics

Artist:
Neema Gospel Choir

Lyrics

Enyi watumishi, Enyi wafuasi wa Yesu.


Mnao vichukua vyombo vya Bwana Mungu.


Iweni safi, lweni safi


Nendeni nendenizenu , Tokeni msiguse kitukichafu,


Tokeni kati yake, Nendeni, nendeni.


Maana hamtatoka kwa haraka,


Hamtakwenda kwa kukimbia.


Bwana MUNGU wenu wa mbingu,


Atawatangulia mbele,


 Mungu wa israeli atawafuata nyuma.


Roho Mtakatifu hukaa kwa watakatifu.


(waliopondeka mioyo na wanyenyekevu)


Hao huwalinda kwake wako salama,


Watajazwa busara, 


Mungu atatukuzwa


 


Nendeni nendeni zenu, 


Tokeni msiguse kitu kichafu.


Tokeni kati yake, 


Nendeni, nendeni.


Nendeni, nendeni


Video