Sifa Lyrics

Amani Ya Kweli by Neema Gospel Choir cover art

Neema Gospel Choir - Amani Ya Kweli Lyrics

Artist:
Neema Gospel Choir
Album:
Haki Yake Mungu
Official Release:
01 Jan 2022

Lyrics

Baba mwenye nguvu oh 


Mungu wa rehema aah 


Mbele ya uso wako tunakuja 


Jehovah tunasogea kwenye kiti chako ooh 


Twaleta maombi yetu yasikie (rudia)


Tunakuja tunakuja 


Mbele zako eeh Bwana 


Tunaomba tunaomba 


Utupe amani yako ya kweli 


Tumeona tumeona 


Nguvu zako na mkono wako tumeuona Baba


Tumesikia neno lako 


Linatutia nguvu linatubamba (rudia)


Amani ya kweli yatoka kwa Mungu aliye hai 


Upendo wa kweli watoka kwa Mungu aliye hai 


Furaha ya kweli watoka kwa Mungu aliye hai 


Tumeona tumeona 


Nguvu zako na mkono wako tumeuona Baba


Tumesikia neno lako 


Linatutia nguvu linatubamba (rudia)


Video