Nyimbo Tamu Lyrics - Anastacia Muema
Anastacia Muema swahili
Nyimbo Tamu Lyrics
Mungu Mwenye Nguvu Uhimidiwe
Mungu Wa Upendo Uhimidiwe
Kwa Tenzi Tamu Tumwimbie Mungu
Kwa Nyimbo Tamu Tumwimbie Sana
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Nitapasa Sauti Nikuimbie Wewe
Uliye Mungu Wangu Nitawaita Wengi Wakuimbie Wewe Uketiye Mbinguni
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ninakuomba Bwana Pokea Sifa Hizi
Ninazokuimbia Zinatoka Moyoni
Ninaimba Kinywani Uzipokee Ee Bwan
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Jina Lako Ni Kuu Uhimidiwe Bwana
Milele Na Milele Wewe Ni Mwenye Nguvu Uhimidiwe Bwana Milele
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu
Ahalleluya Tumwimbie Nyimbo Tamu
Tumwimbie Mungu Tumwimbie Nyimbo Tamu