Wema Wako Wa Ajabu Lyrics - Anastacia Muema
Anastacia Muema swahili
Wema Wako Wa Ajabu Lyrics
Nilipoanza Nilijiuliza Nitawezaje
Kumbe Ni Wewe Mungu Unaniongoza
Hata wengine Walijiuliza Nitawezaje
Kumbe Ni Wewe Mungu Unaniongoza
Wema Wako Wa Ajabu Baba
Mimi NinaKushukuru ....
Ninaimba
Mimi NinaKushukuru ....
Ninasema Asante
Mimi NinaKushukuru ....
Kwa Wokovu Wangu
Mimi NinaKushukuru ....
Niliposhinda Kutoka Mitego Ya Maadui
Kumbe Ni Wewe Mungu Unaniongoza
Na Hata Sasa Nikitazama Nilipofikia
Kumbe Ni Wewe Mungu Unaniongoza
Wema Wako Wa Ajabu Baba
Mimi NinaKushukuru ....
Ninaimba
Mimi NinaKushukuru ....
Ninasema Asante
Mimi NinaKushukuru ....
Kwa Wokovu Wangu
Mimi NinaKushukuru ....
Kama Si Wewe Bwana Ningekuwa Wapi Leo Ulinihaidi Utanibariki Na Umenibariki
Kama Si Wewe Bwana Ningekuwa Wapi Leo Ulinihaidi Utanibariki Na Umenibariki
Kama Si wema Wako Ningekuwa Wapi Leo Ulihaidi Utanipigania Na Umenipigania
Kama Si Wewe Bwana Ningekuwa Wapi Leo Ulinihaidi Utanibariki Na Umenibariki
Wema Wako Wa Ajabu Baba
Mimi NinaKushukuru ....
Ninaimba
Mimi NinaKushukuru ....
Ninasema Asante
Mimi NinaKushukuru ....
Kwa Wokovu Wangu
Mimi NinaKushukuru ....