Majina Yote Mazuri ni Yako Lyrics - Dedo Dieumerci
Dedo Dieumerci Naomi Mugiraneza swahili
Majina Yote Mazuri ni Yako Lyrics
Majina yote mazuri ni yako
Eeeh Jehovah muumbaji wangu
Nikupe jina gani kwani
Lakiheli ni upekee wako
Majina yote mazuri ni yako
Eeeh Jehovah muumbaji wangu
Nikupe jina gani kwani
Lakiheli ni upekee wako
Umeniponya nakiwita Jehovah Rapha
Mungu mponyaji wangu
Umeniokoa nakwita mwokozi
Bwana Mungu wa wokovu wangu
Umenipigania nakwita Jehovah Nissi
Bendera ya ushindi wangu
Umeniponya nakiwita Jehovah Rapha
Mungu mponyaji wangu
Umeniokoa nakwita mwokozi
Bwana Mungu wa wokovu wangu
Umenipigania nakwita Jehovah Nissi
Bendera ya ushindi wangu
Umenipigania nakwita Jehovah Nissi
Bendera ya ushindi wangu
Usifiwe ewe Bwana
Muumba wangu na nuru yangu
Wema wako wanijaza moyo
Wewe ndiye mchungaji wang
Tena kiongozi wa maisha yangu
Wanitazama kama mboni ya jicho lako
Umenifanya kuwa kielelezo cha waliobarikiwa
Zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka
Ili nami nibariki
Nimekupata na nikaridhika
Wewe ni yote ndani ya yote
Usifiwe ewe Bwana
Muumba wangu na nuru yangu
Wema wako wanijaza moyo
Wewe ndiye mchungaji wang
Tena kiongozi wa maisha yangu
Wanitazama kama mboni ya jicho lako
Umenifanya kuwa kielelezo cha waliobarikiwa
Zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka
Ili nami nibariki
Nimekupata na nikaridhika
Wewe ni yote ndani ya yote