Yesu Sio Mwizi Lyrics - Guardian Angel
Guardian Angel swahili
Yesu Sio Mwizi Lyrics
Oooh, oooh
Oooh, ooh
Yesu sio mwizi lakini
Ameuiba moyo yangu
Yesu si polisi anifunge
Ananibeba bembeleza
Yeye ni rafiki wa dhati
Akiahidi lazima atatenda
Yesu ni mfalme wa amani
Kuwa karibu na yeye natamani
Yesu sio mwizi lakini
Ameuiba moyo yangu
Yesu si polisi anifunge
Ananibeba bembeleza
Yeye ni rafiki wa dhati
Akiahidi lazima atatenda
Yesu ni mfalme wa amani
Kuwa karibu na yeye natamani
Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli
Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli
(Singing local)
Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli
Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli
Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kukubali neno lake raha moyoni
Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kwake daima nimepata uzima na amani
Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kukubali neno lake raha moyoni
Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kwake daima nimepata uzima na amani
Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli
Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli
Neno lake Bwana ni kweli na Amina
Ahadi zake kweli
Akiahidi kitu lazima atatenda
Ahadi zake kweli
Mungu ni mwaminifu ooh
Ahadi zake kweli
Ahadi za kweli
Ahadi zake kweli