Yesu Ni Wangu - Wa Uzima Wa Milele

Yesu Ni Wangu - Wa Uzima Wa Milele Lyrics

Chorus
Yesu ni wangu 
Ni Wa uzima wamilele 
Yesu ni wangu 
Ni Wa uzima wamilele  .

Guardian Angel:
Bwana Yesu ni mwokozi wangu 
(Wa uzima wa milele)  .

Yesu ni wa uzima (wamilele) 
Wa uzima (wamilele) 
Wa uzima (wamilele)  .

Niende wapi na kwako ndo kuna uzima 
We ndo wangu wa uzima (wamilele)  
Niende wapi na kwako ndo kuna uzima 
ni wako ni wangu wa uzima (wamilele) 
Nainua macho milimani 
Msaada wangu utatoka wapi? 
Msaada wangu utatoka kwako Bwana  .

Yesu ni wangu 
Ni Wa uzima wamilele 
Yesu ni wangu 
Ni Wa uzima wamilele 
Yesu ni wa uzima (wamilele) 
Wa uzima (wamilele) 
Ni wa uzima (wamilele)  .

Kama ni binadamu basi wangukuwa wanacontrol maisha 
Basi tungepata taabu kibao 
Kungekuwa na duka ya kuuza uzima 
Futi moja wangekuuzia zaidi ya thao 
Devil anakuja kukill steal and destroy 
But ulikuja ili tupate uzima kibao 
Mwambia (devil) ameshindwa ametupa mbao 
Mimi si wao (si wao) 
Jesus christ wewe ndio kiboko yao 
Na mimi nakwishia kwangu wewe ndiye fao  .

Ni wa uzima (wa milele) 
Wa uzima (wamilele) 
We ndo njia, kweli na uzima  .

Yesu ni wangu 
Ni wa uzima wamilele 
Yesu ni wangu 
Ni Wa uzima wamilele 
Yesu ni wa uzima (wamilele) 
Wa uzima (wamilele) 
Ni wa uzima (wamilele) .


Share:

Write a review/comment of Yesu Ni Wangu - Wa Uzima Wa Milele:

2 Comments/Reviews

 • Kengonzi Joseline

  yesu in wangu kweli 2 months ago

 • Joel Chrispo Dumba

  Can I use your video for mission 5 months ago


 • Danny Gift

  @danny-gift

  Bio

  View all songs, albums & biography of Danny Gift

  View Profile

  Bible Verses for Yesu Ni Wangu - Wa Uzima Wa Milele

  No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

  Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music