Mungu wako Atakupigania

Mungu wako Atakupigania Lyrics

Mungu wako atakupigania, Mungu wako 
Mungu wako atakupigania, Mungu wako  .

Adui zako wote watashangaa, adui zako 
Adui zako wote watashangaa, adui zako  .

Watasema umeinuliwa, watasema 
Watasema umeinuliwa, watasema  .

Mungu wangu atanipigania, Mungu wangu
Mungu wangu atanipigania, Mungu wangu  .

Adui zangu wote watashangaa, adui zangu 
Adui zangu wote watashangaa, adui zangu  .

Watasema nimeinuliwa, watasema 
Watasema nimeinuliwa, watasema  .

Kumbuka Yusufu aliuzwa na ndugu zake 
Hawakudhani ataishi tena, Mungu ni mwema  .

Kumbuka Penina alicheka Mama Hannah 
Mama Hannah hakuchoka kumngoja Mungu 
...


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mungu Wako Atakupigania:

1 Comments/Reviews

  • Bramuel Wanyama Juma

    mungu wako 10 months ago