Umenichagua mimi aah
Kwenye kizazi changu mimi nikutumikie
Umeniteua mimi aah
Kwenye kizazi changu mimi nikutumikie
Iweje nibadilishe kizazi changu
Kimejawa matatizo
Bila uwepo wako siwezi
Bila nguvu zako mimi siwezi
Iweje nibadilishe kizazi changu
Kimejawa matatizo
Bila nguvu zako mimi siwezi
Bila uwepo wako mimi siwezi
Mi nataka nizame, nizame
Kwako nizame tabibu wa moyo
Nataka nizame, nizame
Kwako nizame tabibu wa moyo
----
----