Sifa Lyrics

Wewe Ni Mungu by Danny Gift cover art

Danny Gift - Wewe Ni Mungu Lyrics

Artist:
Danny Gift

Lyrics

Wewe ni mungu, hujawahi shindwa
Huwezi shindwa na lolote
Wewe ni mungu, hujawahi shindwa
Huwezi shindwa na chochote
Wewe ni mungu, hujawahi shindwa
Huwezi shindwa na lolote
Wewe ni mungu, hujawahi shindwa
Huwezi shindwa na chochote
(inua sauti useme)
Wewe ni mungu, hujawahi shindwa
Huwezi shindwa na lolote
Wewe ni mungu, hujawahi shindwa
Huwezi shindwa na chochote
(Ooh wewe ni mungu)
Wewe ni mungu, hujawahi shindwa
Huwezi shindwa na lolote
Wewe ni mungu, hujawahi shindwa
Huwezi shindwa na chochote


Lipo hilo linalokushinda 
Lisilowezekana kwakoo oh
Oneka ijulikane upo
Wewe ni mungu unajibu kwa moto
Oneka ijulikane upo
Wewe ni mungu unajibu kwa moto
Oneka ijulikane upo
Wewe ni mungu unajibu kwa moto
Oneka ijulikane upo
Wewe ni mungu unajibu kwa moto


Oneka ijulikane upo
Wewe ni mungu unajibu kwa moto
Oneka ijulikane upo
Wewe ni mungu unajibu kwa moto
Oneka ijulikane upo
Wewe ni mungu unajibu kwa moto


Unajibu  kwa moto (unajibu kwa moto)
Unajibu  kwa moto
Unajibu  kwa moto (unajibu kwa moto)
Moto moto moto, Unajibu  kwa moto
Unajibu  kwa moto (unajibu kwa moto)
Unajibu  kwa moto (unajibu kwa moto)
Unajibu  kwa moto (unajibu kwa moto)
Unajibu  kwa moto (unajibu kwa moto)
Unajibu  kwa moto (unajibu kwa moto)
Unajibu  kwa moto (unajibu kwa moto)
Unajibu  kwa moto (unajibu kwa moto)
Unajibu  kwa moto (unajibu kwa moto)


Video