Danny Gift - Neno Lako Lyrics
Lyrics
Ukitenda nani wakupinga Hakuna (hakuna) hakuna Na ukisema ndio Nani awezaye sema hapana Hakuna (ooh hakuna), hakuna Na unyoshapo mkono wako Baba kwa nguvu wewe unafanya Tena kwa nguvu bwana washangaza Eeh iyee iiih
Neno Lako, litasimama (litasimama) Litasimama, Halita pita (halitapita) Ufanyapo baba hakuna Wakupingana Wala wakupingana We ni Bwana (aaaah aah aaah..) We ni Bwanaa (aaaah) We ni Bwana (aaah aaaah) We ni Bwana (aah aah)
Tangu ujana wangu uanze Sijawahi ona Wewe ukishindwa Haushindwi (haushindwi) haushindwi Hakuna jambo ngumu kwako Unaweza yote mwenye nguvu Haushindwi (Haushindwi) Haushindwi Majira huja na kupita Sijawahi ona wewe ukikwama Unaweza yote bwana washangaza Eeeeh... Majira huja na kupita Si jawahi ona wewe ukikwama Unaweza yote bwana washangaza Eeeh...
Neno Lako litasimama Litasimama, halita pita Ufanyapo baba hakuna Wakupingana Wala wakupingana We ni Bwana (aaaah aah..) We ni Bwanaa (aaaah) We ni Bwana (aaah aaaah) We ni Bwana (aah aah) Milele na milele we ni Bwana (aaah)
Bwana unatawala milele yote
Unatawala (Unatawala) Unatawala (Unatawala) Milele na milele Unatawala, Milele Unatawala (Unatawala) Hakuna kama Wewe Unatawala (Unatawala) Unatawala , Milele Unatawala (Unatawala) Unatawala, Unatawala Milele Unatawala (Unatawala mfalme) Unatawala (mfalme) Unatawala, Milele
Neno Lako litasimama Litasimama, halita pita Ufanyapo baba hakuna Wakupingana Wala wakupingana We ni Bwana (aaaah aah..) We ni Bwanaa (uuuh) We ni Bwana (aaah aaaah) We ni Bwana (aah aah)
Video
NENO LAKO (lyric video) by Danny Gift(sms SKIZA 7637088 to 811)