Bahati - Kererembe Lyrics
Lyrics
Ni Bahati na The Kansoul
Madi kwenye track (Kererembe) Baha na The Kansoul (Kererembe) Mahater tunaleta (Kererembe) Ni kufunika na (Kererembe)
Nikiwa na Jah Jah(Kererembe) Baraka zina jaa jaa(Kererembe) Mahater wanabonga(Kererembe) Na bado show zinashona(Kererembe)
Referee ni mwenyezi (Kererembe) Ashapuliza (Kererembe) Ndio maana mi napendwa na (Kererende) Mistari ziko tamu ka(Peremende)
Ni vitu ngapi mtaa nimeona Kabla hakajaiva yaani nilisota Before wanijue jah jah aliniona Wacha sai blogs zinabonga
Madi kwenye track (Kererembe) Baha na The Kansoul (Kererembe) Mahater tunaleta (Kererembe) Ni kufunika na (Kererembe)
Nikiwa na Jah Jah(Kererembe) Baraka zina jaa jaa(Kererembe) Mahater wanabonga(Kererembe) Na bado show zinashona(Kererembe)
Aah! Garage noma, hainaga signboard Mechanic mnoma huwa kwa kichorochoro Mungu ni noma, na hajisifu Akikubariki wacha jo kupiga mdomo
Si bahati, ngoma ni major Hii ni mbogi natambuwa jah jah Niko na Mungu jo mi siogopi warazzi Nanyenyekea mbele ya Mungu shukrani
Kila mwaka mahits nawapa genge Mkingoja nichape kererembe Weka mikono juu cheki kerende Pepo toka toka toka toka teke (Okonkwo!)
Nikiwa na Jah Jah (Kererembe) Baraka zina jaa jaa (Kererembe) Mahater wanabonga (Kererembe) Na bado show zinashona (Kererembe)
Madi kwenye track (Kererembe) Baha na The Kansoul (Kererembe) Mahater tunaleta (Kererembe) Ni kufunika na (Kererembe)
All the man in adi house and the gyal dem Ukiona mikono juu mi ni suspect Tukiingia si unajuwa tu ni rampage Kunawaka mafuta taa leta nare
Napenda warembo tabia nzuri Yule nitakaa na yeye harusi Hadi maclande hata si wakumbuki Devil akitucheki anatoka nduki
DJ cheza Calif ogopa Nataka kuona raia wakizitoka Ni Baha Kansoul mambo mbaya Ningekuwa wewe ningeretire
Nikiwa na Jah Jah(Kererembe) Baraka zina jaa jaa(Kererembe) Mahater wanabonga(Kererembe) Na bado show zinashona(Kererembe)
Madi kwenye track (Kererembe) Baha na The Kansoul (Kererembe) Mahater tunaleta (Kererembe) Ni kufunika na (Kererembe)
Video
BAHATI & Mejja, Madtraxx (THE KANSOUL)- KEREREMBE (OFFICIAL VIDEO) sms SKIZA 5400007 to 811