Sifa Lyrics

Taniua by Bahati cover art

Bahati - Taniua Lyrics

Artist:
Bahati

Lyrics

Mmmh, EMB Records
Odi wa Murang'a mmmh
Genge la Boondoksi
Na Baha taniua mmmh


Masherehe(Taniua)
Hizi kiherehere(Taniua)
Dhambi zangu(Taniua)
Aki we utaniua aah


Kesho ni zaidi ya today
Mbona unakaa unauliza mbona?
Mbona mawazo ya today
Jana ulichana sasa ni hangover


Kesho ni zaidi ya today
Mbona unakaa unauliza mbona?
Mbona mawazo ya today
Jana ulichana sasa ni hangover


Rieng priest naskia unaitwa Baha
Ju si ni wazing utatuskia hatunaga baha
Ju ka ni jing zimeshika mara kadhaa
Labda niache mchuma nikaseti kwanza wada
Labda niache pupa nikachome kwanza shada
Labda niache chingri nisitupe kwanza rada
Ama nikateke wale siz wa ibada


Kuna matym natamani chana
Aaah eeh kuchana
Temptation kiu ya thiang'a
Aaah eeh ya thiang'a


Injili yangu inapingwa sana
Aaah eeh inapingwa sana
Wakinicheki na Odi wa Murang'a
Aaah eeh 


Masherehe(Taniua)
Hizi kiherehere(Taniua)
Dhambi zangu(Taniua)
Aki we utaniua aah


Kesho ni zaidi ya today
Mbona unakaa unauliza mbona?
Mbona mawazo ya today
Jana ulichana sasa ni hangover


Kesho ni zaidi ya today
Mbona unakaa unauliza mbona?
Mbona mawazo ya today
Jana ulichana sasa ni hangover


Walai walai, mashada fangi gani
Kamande wa Kioi, tupa gospel hewani
Mtoto wa mama before tuanze nina swali
Kwa kesi ya mbinguni unaeza nitetea kweli?


Mgenge ni mgenge for real(For real)
Na njege ni njege for real
Ka ushai backslide mi najua unanifeel
Sijai toa tithe na mi hukuliwa na guilt


Odi huku ni mapitio ooh
Majaribio ooh 
Umetoka mbali tega sikio ooh
Na leo tuko studio


Masherehe(Taniua)
Hizi kiherehere(Taniua)
Dhambi zangu(Taniua)
Aki we utaniua aah


Kesho ni zaidi ya today
Mbona unakaa unauliza mbona?
Mbona mawazo ya today
Jana ulichana sasa ni hangover


Kesho ni zaidi ya today
Mbona unakaa unauliza mbona?
Mbona mawazo ya today
Jana ulichana sasa ni hangover


Nilidai Holy water nikashika Jah
Warasta wote ukweli wameumbwa na Sir Jah
Holy communion mi huziletanga na jug
Ex wangu husema eti labda umenidump


Da, da labda uko done
Ba, ba labda niko bar
Ni kuthokia ju labda niko bank
Illumi sema ati labda hii sasha bank


Gun gun huskii nina gun
Ju leo Mtua anauliza kama ataban
Bang bang washa washa bang
Bang turn washa washa burn


Masherehe(Taniua)
Hizi kiherehere(Taniua)
Dhambi zangu(Taniua)
Aki we utaniua aah


Kesho ni zaidi ya today
Mbona unakaa unauliza mbona?
Mbona mawazo ya today
Jana ulichana sasa ni hangover


Kesho ni zaidi ya today
Mbona unakaa unauliza mbona?
Mbona mawazo ya today
Jana ulichana sasa ni hangover


Tuna craving ya, neno la Bwana
Bikra Maria tupe rehema
Tuna craving ya, neno la Bwana
Bikra Maria tupe rehema


Video

Meaning & Inspiration

not a christian song.