Sifa Lyrics

Barua by Bahati cover art

Bahati - Barua Lyrics

Artist:
Bahati

Lyrics

Bahati Tena

Furahi yote Baba naitoa moyoni,

Na nifurahi yote kwako husikie hewani.

oooh, Ni barua ngapi nimeandika kwa njia mziki.

Na nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki.

Ni barua ngapi nimeandika kwa njia mziki.

Na nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki.

Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,

Nikikuita daddy 

Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,

Nikikuita daddy

Nikufunga nikafunga ila siri sitaki wajue,

samahani nikaomba magoti nisikuzungue. 

Nikufunga nikafunga ila siri sitaki wajue,

samahani nikaomba magoti nisikuzungue.

Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,

Nikikuita daddy 

Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,

Nikikuita daddy

Barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe.

Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike.

Barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe.

Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike.

Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,

Nikikuita daddy 

Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,

Nikikuita daddy

Oh Kama mapenzi, msalabani ulifanya zaidi.

Na Kama kipaji, kwa burudani umekuwa nami.

Oh Kama mapenzi, msalabani ulifanya zaidi.

Na Kama kipaji, kwa burudani umekuwa nami.

kuna wengi mjini wanadai mapenzi, kumbe walaghai.

Wanabadili kama kinyonga, kamwe hawafai.

Video