Joyce Ojowi - Unanitosha Lyrics

Lyrics

Unanitosha, unanitosha Jemedari wangu. mtetezi wangu Unanitosha x2

Nielezeje mungu wangu ikawaje mbingu na dunia Mchana na usiku bahari na nchi kavu Yote ni kazi yako baba maneno ako ni ya uhai Ukisema ni nani wa kupinga nguvu hiyo ya neno Ndio uridhi wangu baba jehova unanitosha

Unanitosha, unanitosha Jemedari wangu. mtetezi wangu Unanitosha x2

Sasa nimekufahamu nimeamini unaweza Kuhifadhi ahadi yako hadi siku ya mwisho Kwa kuwa ufalme ni wako na nguvu na utukufu Sasa hata milele na milele amina

Unanitosha, unanitosha Jemedari wangu. mtetezi wangu Unanitosha x2

Video

Unanitosha - Joyce Ojowi (OFFICIAL VIDEO)

Thumbnail for Unanitosha video
Loading...
In Queue
View Lyrics