Sifa Lyrics

Heshima Na Sifa by Israel Ezekia cover art

Israel Ezekia - Heshima Na Sifa Lyrics

Artist:
Israel Ezekia

Lyrics

Heshima na sifa twakupa ee Bwana
Heshima na sifa pokea milele
Heshima na sifa twakupa ee Bwana
Heshima na sifa pokea milele


Waweza, watosha mwamba wa wokovu
Heshima na sifa pokea milee


Heshima na sifa twakupa ee Bwaa
Heshima na sifa pokea milele


Watosha, waweza, mwamba wa imara
Heshima na sifa pokea milele


Una nguvu, unaweza jina lako ni kuu
Heshima na sifa pokea milele


Heshima na sifa twakupa ee Bwana
Heshima na sifa pokea milele


Video