Sifa Lyrics

Wewe ni Mungu by Israel Ezekia cover art

Israel Ezekia - Wewe ni Mungu Lyrics

Artist:
Israel Ezekia

Lyrics

Wewe ni Baba wewe ni Mungu 
Unayetunza maagano 
Unasimama na neno lako 
Wewe ni Baba, wewe ni Mungu 


Wewe ni Baba wewe ni Mungu 
Unayetunza maagano 
Unasimama na neno lako 
Wewe ni Baba, wewe ni Mungu 


Uaminifu wako wang'aa milele 
Tunakuabudu wewe ni Mungu 
Uaminifu wako wang'aa milele 
Tunakuabudu wewe ni Mungu 


Wewe ni Baba wewe ni Mungu 
Uweza ni wa milele 
Unayafanya mambo makuu 
Wewe ni Baba wewe ni Mungu 
Uaminifu wako wang'aa milele 
Tunakuabudu wewe ni Mungu 
Uaminifu wako wang'aa milele 
Tunakuabudu wewe ni Mungu 
Tunakuabudu wewe ni Mungu 


Video