Kuna Sababu Lyrics

Erick Smith swahili

Chorus:
Kuna sababu, moyoni mwangu
(There is a reason in a my heart)
Yaku kuabudu, Bwana wangu
(To worship You, my Lord)
Kwa hali yoyote, najua wani penda
(In every situation I know that you love me)
Wewe unaye, tujali uinuliwe
(You who care for us, be lifted high)

Kuna Sababu Video

Kuna Sababu Lyrics

Kuna sababu, moyoni mwangu
(There is a reason in a my heart)
Yaku kuabudu, Bwana wangu
(To worship You, my Lord)
Kwa hali yoyote, najua wani penda
(In every situation I know that you love me)
Wewe unaye, tujali uinuliwe
(You who care for us, be lifted high)

Chorus:
Shukurani za jaa rohoni mwangu
(My heart is full of gratitude)
Utukufu sifa ni zako bwana
(Glory and praise belong to you Lord)
Jina lako likitajwa nahisi kunyenyekea
(In the mention of your name, I desire to humble)
Niiname mbele zako niku sujudu
(bow down and worship thee)

Toka nikujue, sija waijuta
(Since I came to know you, I have never regretted)
Umekua mwema ndani yamaisha yangu
(you have been good to me to my life)
Mambo yote yameku shwari
(Everything has been just perfect)

Shukurani za jaa rohoni mwangu
(My heart is full of gratitude)
Utukufu sifa ni zako
(Glory and praise belong to you)
Jina lako likitajwa nahisi kunyenyekea 
(In the mention of your name, I desire to humble)
Niiname mbele zako niku sujudu
(Bow down and worship thee)