Ben Githae

Mlianza na Roho Lyrics

Mlianza na roho 
Mlianza na roho 
Mmemalizia na mwili kwa nini 
Mlianza na roho 
Mlianza na roho 
Mmemalizia na mwili kwa nini 

Alisema na Wagalitia 
Na siku ya leo roho anasema 
Mlianza, mlianza na roho 
Mmemalizia na mwili kwa nini? 

Mlianza na roho 
Mlianza na roho 
Mmemalizia na mwili kwa nini 
Mlianza na roho 
Mlianza na roho 
Mmemalizia na mwili kwa nini 

Alisema na Waefeso 
Na siku ya leo roho anasema 
Mliacha upendo wa kwanza 
Tubuni dhambi mtasamehewa 

Mlianza na roho 
Mlianza na roho 
Mmemalizia na mwili kwa nini 
Mlianza na roho 
Mlianza na roho 
Mmemalizia na mwili kwa nini 


Mlianza na Roho Video