Sifa Lyrics

Pale Msalabani by Tom Randa cover art

Tom Randa - Pale Msalabani Lyrics

Artist:
Tom Randa

Lyrics

         Artist: 

Title: _ _ _ _ _ _ _ _ _

Lyrics: _ _ _ _ _ _ _ _ _

Kuna pahali pazuri pa neema
Hapo tunapata toba toka kwake
Upendo Wake Bwana kwetu sisi wenye Dhambi


Pale msalabani tunaokolewa, tunatakaswa Haleluya
Dhambi zetu zote, zinasamehewa
Asante Yesu Bwana


Kuna pahali pazuri pa ukombozi
Hapo tunapata toba toka kwake
Upendo Wake Bwana kwetu sisi wenye Dhambi


Pale msalabani
Yesu wangu
Kaangikwa
Dhambi zangu
Zaoshwa na
Yesu
Natakaswa


Video