Kumbuka moyo wangu
Kunaye anakupenda
Kumbuka moyo wangu
Kunaye anakujali
Kumbuka moyo wangu
Kunaye anakuwaza
Kumbuka moyo wangu
Kunaye anakuthamini
Chorus
Alisema hatakuacha
Alisema atakuwa nawee
Alisema Usiogope
Alisema Mimi ni Mungu wako
Wee eeh, wee eeh, wee ee moyo
Wee eeh, wee ee, wee ee moyo
Kumbuka moyo wangu
Yeye amani yako
Kumbuka moyo wangu
Yeye furaha yako
Kumbuka moyo wangu
Yeye uzima wako
Kumbuka moyo wangu
Yeye faraja yako
Kumbuka moyo wangu
Yeye ni nguzo yako
Kumbuka moyo wangu
Yeye rafiki yako
Alisema hatakuacha
Alisema atakuwa nawee
Alisema Usiogope
Alisema Mimi ni Mungu wako
Wee eeh, wee eeh, wee ee moyo
Wee eeh, wee ee, wee ee moyo
Kumbuka moyo wangu
Usije ukainama
Kumbuka moyo wangu
Usije kata tamaa
Kumbuka moyo wangu
Usije katie shaka
Kumbuka moyo wangu
Yeye ni Mwaminifu.
Write a review/comment/correct the lyrics of Kumbuka Moyo Wangu - Alisema Hatakuacha:
A very good song....I play it every day..gives me inner strength and the message is powerful...thank you Jesus 8 months ago
Why art thou cast down, O my soul? And why art thou disquieted within me? Hope thou in God; for I shall yet praise him, `Who is' the help of my countenance, and my God. Psalm 44 For the Chief Musician. `A Psalm' of the sons of Korah. Maschil.