Niongozwe Nawe Lyrics - Neema Gospel Choir

Neema Gospel Choir swahili

Chorus:
Niongozwe nawe Bwana
Oh Lord, please take lead.

Tangulia mbele
Lead from the front

Unifate nyuma
Guide from the back

(Ongoza) Hatua zangu
Guide my every step

Niongozwe Nawe Video

Buy/Download Audio

Niongozwe Nawe Lyrics

Ninaomba uende nami 
Oh Lord, please go with me. 

Uongoze hatua zangu
Take lead and guide my steps 

Bila wewe, mimi siwezi 
I can’t do a thing without you.

Sitaweza usipoenda nami
If you do not go with me, I can't do anything. 

Kama hauendi nami Usinitoe hapa,
Don’t take me from this place, If you don’t go with me.

Peke yangu sitaweza Usipoenda nami,
I won’t make it, if you do not go with me. 

Mahali hapa sikutaka Ili niheshimiwe,
This place is not mine to be respected

Nayanikute mateso Sawasawa nawe.
I choose to suffer as you suffered for me. 

Niongozwe nawe Bwana 
Oh Lord, please take lead.

Tangulia mbele
Lead from the front 

Unifate nyuma
Guide from the back 

(Ongoza) Hatua zangu
Guide my every step