Neema Gospel Choir - MUNGU MWAMINIFU Lyrics
Lyrics
Aliye upande wetu, Ni Mungu mwaminifu,
Yesu mwana wa Mungu, Ni Mungu mwaminifu.
Hujishughulisha, Na mambo yetu
, Ni Mungu mwaminifu.
Hasinzi, halali
Ni Mungu mwaminifu.
Aliye upande wetu,
Ni Mungu mwaminifu
Ametutuma Mungu
Kuifanya kazi yake,
Tutafanya.
Tutakwenda sote
Kutangaza neno lake,
Watu wapone.
Majeshi ya malaika zake,
Yametuzunguka.
Tumeimarishwa na nguvu zake,
Bwana Yesu.
(Tumetumwa)
Na Yesu mwenyewe, Na Yesu mwenyewe
Anatenda kazi pamoja nasi
(Tutangaze neno)
Na watu wapone
Na watu wapone
Bwana Yesu yupo nasi
Yesu eeeh eeh eeeh
Tutakutumikia wewe.
Bwana ndiwe uvuli na msaada kwetu
Tutakutumikia wewe .
Yesu eeh eeeh eeh
Tutakutumaini wewe
Umekuwa mwema,
Unatenda mema.
Video
MUNGU MWAMINIFU - Neema Gospel Choir (Official Audio) The Sound of Ahsante