Kutembea na Yesu Lyrics

Neema Gospel Choir AIC Chang'ombe swahili

Chorus:
Amenivusha Yesu
Jesus has saved me

Ameniweka salama
he has kept me safe

Kutembea na Yesu Video

Buy/Download Audio

Kutembea na Yesu Lyrics

Kutembea na Yesu, njiani salama
walking along with Jesus, on the way is safe

Begani kaniweka, safari ni hakika
He's carried me on His shoulder, no worries in my journey

Katikati ya bahari amefanya njia Yesu
in the middle of the ocean, Jesus has made a way

Amefanya wokovu kwa mkono wake Yesu 
Jesus has delivered me with his mighty hand

Katika shida yangu
out of my distress

nalimwita Bwana Yesu
i called on Jesus, the Lord

Nalimlilia Mungu wangu
i cried to my God

katika taabu iliyonizonga
In the midst of trouble

Nitamwimbia Bwana
i will sing unto the Lord

Kwa sababu ametukuka sana
For He is highly exalted

Mamba kivukoni ambaye ni shetani amemwangamiza.
he has defeated the enemy (the crocodile)

Amenivusha.
he has saved me

Amenivusha Yesu
Jesus has saved me

Ameniweka salama 
he has kept me safe

Natembea naye,
i walk with him
Natembea naye,
i walk with him

Natembea naye,
i walk with him
Natembea naye.
i walk with him

Mamba hakunimeza
the enemy coudn't defeat me (the crocodile couldn't swallow me)

Aiye iye iye iye nimevuka upande wa pili
i have crossed to the other side

Nimemwona
i have seen him

Aiye iye iye iye nimemwona Bwana Yesu
i have seen Jesus, The Lord

Aiye iye iye iye nimevuka upande wa pili
I have crossed to the other side