(leader)
Mfalme Mwema,Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu
(all)
Mfalme Mwema,Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu
(all)
Twakupa
Heshima na sifa zote
Ewe Mungu
Umetukuka
Twakupa
Heshima na sifa zote
Ewe Mungu
Umetukuka
Mtakatifu , mtakatifu
Bwana wa majeshi
Dunia Yote imejawa
na utukufu wako
Mtakatifu , mtakatifu
Bwana wa majeshi
Dunia Yote imejawa
na utukufu wako
Twakupa, Heshima na sifa zote
Ewe Mungu, Umetukuka
Twakupa, Heshima na sifa zote
Ewe Mungu, Umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka
Ewe Mungu, umetukuka
Umetukuka ...
Write a review of Mfalme Mwema Mwaminifu Bwana Umetukuka - Mtakatifu:
The song really blessed me alot keep up mtumishi na Mungu akupe maisha marefu ili uzidi kutubariki kwa nyimbo zaku sifu. 8 hours ago
Leading to sincere worship 5 days ago
Am realy blesed with the song Amen 6 days ago
Such a powerful song 1 week ago
Nice mkubwa 1 month ago
It's real worship 1 month ago
This is wonderful really... It touches 1 month ago
Wimbo huu uñaguza sana,,unaongoza watu katika kuabudu kwakweli.
3 months ago
Full of inspiration 3 months ago
The song is so powerful, 5 months ago
No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section